Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya, akisoma taarifa kuhusu uendeshaji wa vivuko nchini kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), bungeni, jijini Dodoma.
Read More