Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza jambo wakati wa kikao baina ya Viongozi na Watendaji wa Ofisi hiyo na Wajumbe wa Kamati ya Sheria, Utawala Bora na Idara Maalum za SMZ wa Baraza la Wawakilishi waliotembelea Ofisi hiyo tarehe 21 Agosti, 2023.
Read More