Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

RFB Yajipanga Kufikia Malengo
Aug 22, 2023
RFB Yajipanga Kufikia Malengo
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya, akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa Bodi ya Mfuko wa barabara nchini (RFB), kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, jijini Dodoma leo.
Na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya, akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) ilipowasilisha taarifa ya utendaji kazi, bungeni jijini Dodoma.

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Selemani Kakoso, akitoa maagizo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya (hayupo pichani) kuhusu utendaji kazi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB), bungeni jijini Dodoma.

 

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB), Mhandisi Rashid Kalimbaga, akifafanua jambo kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, jijini Dodoma.

 

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Balozi, Mhandisi Aisha Amour akizungumza wakati Bodi ya Mfuko wa Barabara ikiwasilisha taarifa ya utendaji kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, jijini Dodoma

 

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya (hayupo pichani), wakati Naibu Waziri huyo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utendaji ya Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB), bungeni jijini Dodoma. 

 

Baadhi ya wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya (hayupo pichani), wakati Naibu Waziri huyo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utendaji ya Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB), bungeni jijini Dodoma. 

 

 

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi