Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kulia) akitoa maelekezo kwa Wakandarasi wanaotekeleza mradi wa Umeme Vijijini, Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Kwanza, mkoani Dodoma, Kampuni ya A2Z Infra Engineering Limited (kushoto) kuhakikisha wanakamilisha kazi hiyo kabla ya Septemba 15, mwaka huu, alipokuwa katika ziara ya kazi wilayani Chemba, Agosti 12, 2020. Kulia kwa Waziri ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Simon Odunga.
Veronica Simba – Dodoma
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, ameagiza Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Umeme Vijijini, Awamu ya T...
Read More