Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam kuhusu ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi wa Kidini kutoka Nchini India Bw. Gurudev Sri Sri Ravi Shankar,
Ujio wake ni Matunda Mazuri ya Filamu ya The Royal Tour Tanzania
Na Grace Semfuko - MAELEZO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema, Agosti 23, 2022, Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi wa kidini kutoka Nchini...
Read More