Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akitoa hamasa kwa wananchi wa Kitongoji cha Lasawana, kijiji cha Lokili, Kata ya Kashashi, wilayani Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, kuiga mfano wa Mzee Abrahamu Kileo (mwenye kofia ya njano), kwa kulipia shilingi 27,000 tu ili waunganishiwe umeme. Waziri aliwasha rasmi umeme katika nyumba ya Mzee huyo akiwa katika ziara ya kazi, Agosti 17, 2020.
Veronica Simba – Kilimanjaro
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuanza kuwakatia umeme wateja wake wenye made...
Read More