[caption id="attachment_10681" align="aligncenter" width="776"] Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bibi Rehema Madenge akifungua mafunzo kwa watumiaji wa Mfumo mpya wa Kielektroniki ulioboreshwa (PlanRep) yanayofanyika mjini Dodoma yakiwashirikisha Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri, Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wachumi na Wahasibu.[/caption]
Beatrice Lyimo- Maelezo,Dodoma
Watendaji wa wa Serikali wametakiwa kufanya kazi kwa kujituma na weledi ili kuendana na dhana ya Serikali ya awamu ya Tano inayosisitiza uwazi na uwajibikaji katika...
Read More