[caption id="attachment_10837" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Safari ya Tanzania ya Viwanda (Tanzania Industrialization Journey 2016 -2056) Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29, Agosti, 2017. Kitabu hicho kimeandikwa na kwa pamoja na Mwenyekiti wa CEOrt Ali Mufuruki, Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa, Mtaalamu wa Maendeleo ya Biashara kutoka General Electrical Bw. Gilman Kasiga na Rahim...
Read More