Imeelezwa kuwa Tamasha la Kizimkazi kuwa kichocheo kikubwa cha uchumi wa Wilaya ya Kusini Unguja kutokana na shughuli mbalimbali zinazofanyika katika tamasha hilo ikiwemo uzinduzi wa miradi.Hayo yameelezwa na Afisa Utamaduni wa Wilaya ya Kusini, Othman Abdallah wakati wa mahojiano maalum na Ofisi ya Idara ya Habari-MAELEZO, Paje mkoani Unguja Kusini.“Tamasha hili la Kizimkazi ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi katika wilaya yetu, hii inatokana na uzinduzi wa miradi mbalimbali katika tamasha hili, ambapo kwa mwaka huu miradi inayoenda kuz...
Read More