Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Japan hapa nchini, Mhe. Yasushi Misawa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini, Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tan...
Read More