Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi mbalimbali Wanaowakilisha nchi zao Tanzania
Aug 25, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini, Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan hapa nchini, Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Uganda, Kanali Mstaafu Fred Mwesigye katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda, Kanali Mstaafu Fred Mwesigye mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Uganda, Kanali Mstaafu Fred Mwesigye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini, Mhe. Charlotta Ozaki Macias katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini, Mhe. Charlotta Ozaki Macias mara baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini, Mhe. Charlotta Ozaki Macias mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Kenya hapa nchini, Mhe. Isaack Njenga Gatitu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini, Mhe. Charlotta Ozaki Macias mara baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Kenya hapa nchini, Mhe. Isaac Njenga Gatitu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini, Mhe. Peter Hyghebaert katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini, Mhe. Peter Hyghebaert mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Noluthando Mayende- Malepe mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Noluthando Mayende- Malepe mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.