Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiimba wimbo wa mshikamano alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama hicho, katika ukumbi wa Royal Village, Dodoma Agosti 25, 2021, kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, kulia kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa TALGWU na rais wa TUCTA, Tumaini Nyamokya, Katibu Mkuu wa TALGWU, Rashidi Mtima.
Waziri Mkuu, Kassim...
Read More