Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya walipokutana kwenye Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.
Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.