Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha mgeni wake Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Mubarak Mohammed Alsehaijan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Mubarak Mohammed Alsehaijan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Maj. Gen. Charles Karamba, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe .Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Regina Hess, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazunguzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo na Ushirikiano Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dkt. Katrin Bornemann, wakati wa mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess. (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.