Waziri Mkuu Majaliwa, Afungua Mkutano Mkuu wa TALGWU
Aug 25, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama hicho, katika ukumbi wa Royal Village, Dodoma Agosti 25, 2021.
Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama hicho, katika ukumbi wa Royal Village, Dodoma Agosti 25, 2021.