[caption id="attachment_8482" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakifunua kitambaa kuashiria kuwekwa kwa jiwe la msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania, wanaoshuhudia Kulia ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Naibu Waziri Nishati na Madini Mhe. Medard Kalemani na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Kushoto ni Waziri wa Nishati wa Uganda Mhe. Irene Muloni[/caption]
[...
Read More