Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Tamasha la Tamaduni Mbalimbali kuzinduliwa
Aug 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na Vijana waliobuni wazo la kuanzisha Tamasha maalum la Tamaduni Mbalimbali ambalo linatarajiwa kuzinduliwa mwishoni mwa mwaka huu Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Matukio toka Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Bw. Kurwijira Maregesi akifafanua jambo kuhusu umuhimu wa Tamasha la Tamaduni mbalimbali lililoandaliwa na Vijana Andrew Kamuzora na Isaias Kabali ambao linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu Jijini Dar es Salaam.

Vijana Andrew Kamuzora na Isaias Kabali (wawili toka kulia) wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hauypo pichani wakati walipofanya mazungumzo nae Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi