Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha, Mhandisi Mshamu Ali Munde amefika mkoani Morogoro kushiriki ufunguzi wa Sherehe za Wakulima maarufu kama Nanenane Kanda ya Mashariki.Tayari Mhandisi Munde amefanya ukaguzi wa awali kwenye mabanda ya Mifugo, Ufugaji wa Samaki na Vipando vya Mazao ya Chakula na Mbogamboga pamoja na bidhaa za usindikaji.Aidha, Mhandisi Munde kwa ujumla ameridhishwa na maandalizi yote yaliyofanywa yakiratibiwa na Bw. Charles Marwa, Mkuu wa Divisheni ya Mifugo, Kilimo na Uvuvi wa Halmashauri ya Mji Kibaha.Bw. Marwa amem...
Read More