Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, akimsikiliza Msimamizi wa Mali za Serikali Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. George Killo, akifafanua kuhusu Mfumo wa Kielektroniki wa Utoaji Leseni za Udalali na Uendeshaji Minada ya Hadhara, alipotembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa Uwanja wa John Mwakangale, jijini Mbeya. Katikati ni Mhakiki wa Mali za Serikali Mkoani Mbeya, Bw. Simon Njoka.
Na. Rahma Taratibu na Hilda Mlay, SJMC, Mbeya
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,...
Read More