Na Zuena Msuya, Njombe
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Nishati, imekuwa ikitenga fedha maalum kila mwezi ili kupunguza gharama za mafuta kwa watumiaji kutokana na bidhaa hiyo kuendelea kupanda bei katika soko la Dunia.
Byabato alisema hayo wakati akisalimia wananchi kwenye Mkutano wa hadhara uliyofanyika katika Uwanja Sabasaba wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan, mkoani Njombe Agosti 10, 2022.
Wakili Byabato alifafanua kuwa, kutokana na kuendelea k...
Read More