Rais Samia Azindua Soko Kuu la Njombe, Atembelea Kiwanda cha TANWAT Miwati
Aug 10, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi Soko Kuu la Njombe Mjini katika hafla iliyofanyika mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara wa matunda na viatu katika Soko Kuu la Njombe mara baada ya kulizindua Soko hilo tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Soko Kuu la Njombe Mjini mara baada ya kulizindua rasmi Soko hilo tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Njombe mara baada ya kuzindua Soko Kuu la Njombe Mjini tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya malighafi inayotumika kwenye kazi ya ufuaji wa Umeme alipotembelea Kiwanda cha TANWAT Miwati Mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua kinu cha kufua Umeme katika Kiwanda cha TANWAT Miwati mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.