Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji na wa Nchini Ethiopia
Aug 10, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mhe. Jestas Abouk Nyamanga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mhe. Jestas Abouk Nyamanga, baada ya kumaliza mazungumo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Kidemokrasia Jamhuri ya Ethiopia Nchini Tanzania, Mhe. Shibru Mamo Kedida, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Kidemokrasia Jamhuri ya Ethiopia Nchini Tanzania, Mhe. Shibru Mamo Kideda, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022