Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Kikandarasi ya Beijing kutoka nchini China, alipofika uwanja wa ndege wa Musoma, mkoani Mara, kukagua maandalizi ya maboresho ya uwanja huo.
Serikali imesema inatarajia kutumia kiasi cha shilingi Bilioni 35 kuboresha uwanja wa ndege wa Musoma, mkoani Mara kwa kuweka lami na kuongeza urefu wa uwanja huo ili kuruhusu ndege kubwa na ndogo kuweza kutua.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho,...
Read More