Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 19, 2018.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Tanzania nchini China, Balozi Mbelwa Kairuki na amempongeza kwa kazi nzuri anayoifanya tangu aende huko.
Amekutana na Balozi Kairuki leo (Alhamisi, Julai 19, 2018) katika makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam, na amemtaka Balozi huyo ahakikishe anaboresha mahusiano kati ya Tanzania na China.
“Ni lazim...
Read More