Na Mwandishi wetu, Birmingham
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa, uwekezaji katika michezo ni muhimu kwa kuwa unasaidia kutoa ajira na kukuza uchumi wa nchi.
Mhe. Mchengerwa ameeleza hayo Julai 27, 2022 katika Mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Nchi za Jumuiya ya Madola unaofanyika Birmingham Uingereza, ambapo amesema ni wakati sasa kwa nchi zinazoendelea kutoa kipaumbele katika michezo kama zinazofanya katika Sekta zingine.
"Ni wakati sasa wa kuipa Sekta ya michezo kipaumbele, tuondoe dhana y...
Read More