Rais Dkt. Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Msingi ya Pujini
Jul 27, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Muonekano wa Jengo Jipya la Skuli ya Msingi ya Pujini Wilaya ya Chakechake Pemba iliyoweka Jiwe la Msingi la Ujenzi huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika ziara yake kutembelea na kukagua Miradi ya Maendelo Pemba leo 27-7-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi ya Mwinyi Bulding Contractor, Alawi Abdalla Ahmed, akitoa maelezo ya Kitaalum ya michoro ya ujenzi huo, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe. Mattar Zahro Masoud
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi Pujini inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19.
Wanafunzi wa Skuli ya Pujini Wilaya ya Chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwahutubia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli hiyo, akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba leo 27-7-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakizungumza baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Pujini Wilaya ya Chakechake Pemba akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba leo.27-7-2022