[caption id="attachment_33804" align="aligncenter" width="800"] Kaimu katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Florens Turuka na akishiriki mazoezi ya mbio za polepole(jogging) na viongozi wengine wa Serikali wakati wa Bonanza maalum la kuwakaribisha watumishi wa umma waliohamia Jijini Dodoma. Bonanza hilo limeandaliwa na Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na limefanyika katika uwanja wa jamhuri Jijini Dodoma[/caption]
Na. Georgina Misama – MAELEZO
Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo yapongezwa kwa kuandaa Bonanza lilihudhuriwa na mamia ya...
Read More