Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kamati ya Tatu ya Uongozi wa Mkurabita Yakabidhiwa Majukumu Yao Rasmi
Jul 20, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33784" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti Mpya wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA),Balozi Daniel Ole Njolay akizungumza wakati wa kikao elekezi kwa wajumbe wapya wa Kamati hiyo pamoja na makabidhiano ya uongozi na Mwenyekiti mpya wa kamati hiyo Balozi Daniel Ole Njolay (kulia) kikao kilichofanyika leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33785" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti Mstaafu wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Kapteni Mstaafu John Chiligati akizungumza wakati wa kikao elekezi kwa wajumbe wapya wa Kamati hiyo pamoja na makabidhiano ya uongozi na Mwenyekiti mpya wa kamati hiyo Balozi Daniel Ole Njolay (kulia) kikao kilichofanyika leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33786" align="aligncenter" width="750"] Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya MKURABITA mbele ya wajumbe wapya na Mwenyekiti mpya wa mpango huo, Balozi Daniel Ole Njolay, leo Jijini Dodoma. Kulia ni Makamu Mwenyekiti msataafu wa Kamati hiyo Profesa Aldo Lupala.[/caption] [caption id="attachment_33787" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti Mpya wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA),Balozi Daniel Ole Njolay akipokea hati ya majukumu yake kutoka kwa Mwemyekiti msataafu wa Kamati hiyo Kapteni Mstaafu John Chiligati katika kikao elekezi kwa wajumbe wapya wa Kamati hiyo pamoja na makabidhiano ya uongozi na Mwenyekiti huyo leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33788" align="aligncenter" width="750"] Mgeni Mualikwa kutoka Sekta binafsi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Ubunifu toka Kampuni ya GODTEC, Aloyce Midello akiwasilisha mada kuhusu Urasimishaji wa rasilimali kama nyezo ya kukuza biashara za wanyonge nchini katika kikao elekezi kwa wajumbe wapya wa Kamati hiyo pamoja na makabidhiano ya uongozi na Mwenyekiti mpya wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (kushoto) leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33790" align="aligncenter" width="750"] Wajumbe wapya wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakifuatilia mada wakati wa kikao elekezi kilichoambatana na makabidhiano rasmi ya uongozi leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33791" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa Watendaji wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Bw. Harvey Kombe akifafanua jambo katika kikao elekezi kwa wajumbe wapya wa Kamati hiyo pamoja na makabidhiano ya uongozi na Mwenyekiti mpya wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (kushoto) leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33792" align="aligncenter" width="750"] Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Bi. Seraphia Mgembe (kulia) akimpongeza Mwenyekiti mpya Kamati ya Uongozi ya MKURABITA, Balozi Daniel Ole Njolay mara baada ya kukabidhiwa rasmi majukumu yake leo Jijini Dodoma katika kikao kilichotumika pia kuwajengea uelewa wa majukumu ya Mpango huo wajumbe wapya wa Kamati hiyo.[/caption] [caption id="attachment_33793" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti Mpya wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA),Balozi Daniel Ole Njolay akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wapya wa kamati hiyo mara baada ya ufunguzi wa kikao elekezi kwa wajumbe hao pamoja na makabidhiano rasmi ya uongozi leo Jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Mtaalam wa Habari, Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa MKURABITA, Bibi. Glory Mbilimonywa, Mtendaji wa Mkurabita Anthony Temu na Bi. Joyce Kissanga (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi