[caption id="attachment_7733" align="aligncenter" width="750"] Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu , Seperatus Fella, akizungumza na wadau kutoka Taasisi zinazojihusisha na kupambana na biashara hiyo waliokutana ili kujadili mikakati ya kutokomeza biashaara hiyo nchini leo Jijini Dar es Salam.[/caption]
[caption id="attachment_7734" align="aligncenter" width="750"] Afisa Uchunguzi Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Ahmed Mwendadi akifafanua jambo kwa wadau kutoka Taasisi zi...
Read More