Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu ya Binadamu Wakutana na Wadau Kujadili Namna ya Kupambana ya Biashara Hiyo
Jul 28, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_7733" align="aligncenter" width="750"] Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu , Seperatus Fella, akizungumza na wadau kutoka Taasisi zinazojihusisha na kupambana na biashara hiyo waliokutana ili kujadili mikakati ya kutokomeza biashaara hiyo nchini leo Jijini Dar es Salam.[/caption] [caption id="attachment_7734" align="aligncenter" width="750"] Afisa Uchunguzi Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Ahmed Mwendadi akifafanua jambo kwa wadau kutoka Taasisi zinazopambana na biashara hiyo waliokutana ili kujadili mikakati ya kutokomeza biashaara hiyo leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_7735" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa ANPPCAN Tanzania, Wilbert Muchunguzi, akieleza jambo juu ya shughuli wanazofanya katika kupambana na Biashara Haramu ya Kuzuia Usafirishaji Binadamu nchini. Kushoto ni Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Seperatus Fella.[/caption] [caption id="attachment_7738" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa kituo cha C-sema, Michael Kehongoh, akieleza jambo juu ya shughuli wanazofanya katika kituo hicho kuunga mkono harakati za kupambana na Biashara Haramu ya Kuzuia Usafirishaji Binadamu nchini. Kushoto ni Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu , Seperatus Fella. (Picha na: Wizara ya Mambo ya Ndani)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi