[caption id="attachment_33861" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiongea na Wanahabari leo Mjini Dodoma[/caption]
Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli imetekeleza jumla ya miradi 1,493 ya maji vijijini kufikia Desemba, 2017 na ujenzi wa miradi 366 unaendelea kutekelezwa sehemu mbalimbali nchini.
Hayo yameelezwa leo, Jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa Serikali,...
Read More