[caption id="attachment_33931" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Bw. Festo Kiswaga akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Vituo Vya Kurasimisha na Kuendeleza Biashara kwa Kanda ya Ziwa Mashariki jana Mjini Bariadi. Vituo hivyo vitakuwa vikitoa huduma za urasimishaji biashara kwa kuwepo wataalamu wote wanaohusika na usajili na utoaji huduma za uanzzishaji na uendelezaji wa biashara kama vile Brella, TRA, Afisa Biashara, Wakala wa Vipimo, taasis...
Read More