[caption id="attachment_44972" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na waumini wa Kikristo, kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya 53 ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ulioambatana na harambee ya kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa kitegauchumi cha jumuiya hiyo, uliyofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Julai 5.2019. Waziri Mkuu, amemwakilisha Rais Dkt. John Magufuli, katika mkutano huo.[/caption]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema viongozi wa dini waendelee kuimarisha malezi na maf...
Read More