Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akifuatilia shughuli za mafunzo ya ufundi stadi wanayopata wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Don Bosco Dodoma chini ya ufadhili wa Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi inayoratibiwa na Ofisi hiyo wakati alipofuatilia utekelezaji wake tarehe 19 Julai 2022.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema kwa mwaka wa fedha 2022/23, Serikali inatarajia kujenga Vituo Atamizi v...
Read More