Rais Dkt. Mwinyi Afanya Ziara Wilaya ya Kaskazini A”
Jul 19, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuzindua kituo cha Wajasiriamali wa Pale Kiongele kilichojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo kupitia mkopo wa UVIKO 19, akiwa katika ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Masoud Ali Mohamed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipanda mti wa Muembe wa boribo Muyuni kama kumbukumbu yake katika uzinduzi wa kituo cha Wajasiriamali wa Pale Kiongele kilichojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo kupitia mkopo wa UVIKO 19, akiwa katika ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa kituo cha Wajasiriamali wa Pale Kiongele kilichojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo kupitia mkopo wa UVIKO 19, alipofanya ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo