Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC) Kanali Mstaafu Dk. Haruni Kondo akizungumza na Waandishi wa Habari wakati alipokuwa akitoa taarifa ya mafanikio ya kiutendaji wa shirika hilo, kwa mwaka 2017/18, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika, Hassan Mwang'ombe.
Baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika mkutano huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, alipokuwa akitoa taarifa ya mafaniko ya kiutendaji wa shirika kwa mwaka 2017/2018, jij...
Read More