[caption id="attachment_45121" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb), katika ofisi za Sekretarieti za jumuiya hiyo zilizopo London,Uingereza leo Julai 9, 2019.[/caption]
Jumuiya ya Madola imeonesha kuridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza mageuzi ya kiuchumi, uwajibikaji na utawala bora kwa wananchi wake jambo ambalo jumuiya hiyo inalihimiza na kulisimamia kwa nchi wanachama wake....
Read More