Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Julai 21, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam . Julai 21, 2022
Read More