Balozi wa China Nchini Tanzania Atembelea Ofisi ya Waziri Mkuu
Jul 21, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam . Julai 21, 2022