Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na baadhi ya viongozi leo tarehe 21 Julai, 2022 mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nne mkoanihumo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na baadhi ya wananchi leo tarehe 21 Julai, 2022 mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nne mkoanihumo.