Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, (kulia), Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini nchini Uganda, Mhandisi Peter Lokeris (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mazingira na Maliasili wa Uganda, Emmanuel Otara (wa pili kushoto) na Balozi wa Ubalozi wa Uganda, Fred Mwesigye (kushoto) wakifuatilia mada wakati wa kikao cha ujumbe wa Uganda nchini Tanzania kujifunza masuala mbalimbali katika sekta ya Nishati, Julai 21, 2022.
Na Zuena Msuya DSM
Ujumbe kutoka nchini Uga...
Read More