[caption id="attachment_44423" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiipongeza Benki ya CRDB, kwa kuwa Benki ya mfano kwa kutoa gawio la jumla ya Sh. bilioni 10 kwa Serikali, mashirika na taasisi za umma zilizowekeza hisa zao katika Benki hiyo, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.[/caption]
Na Farida Ramadhani na Peter Haule, Dodoma
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea kiasi cha shilingi bilioni 6.8 ikiwa ni gawio linalotokana na uwekezaji wa a...
Read More