Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika Mdahalo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa nchi nyingine kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kujadili fursa mbalimbali pamoja na changamoto zinazolikabili Bara la Afrika. Mkutano huo wa 57 wa AfDB unafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Accra nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Ghana, Mhe. Nana Akufo-Addo pamoja na Makamu wa Rais wa Ivory Coast, Mhe. Tiémoko Meyliet Koné
Rais wa Jam...
Read More