[caption id="attachment_43591" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Petro Lyatuu amewataka Wakuu wa Idara na Vitengo kusimamia vyema Sheria ya Manunuzi ya Umma wakati wa manunuzi alipokuwa akifunga Mafunzo ya Manunuzi na Ugavi yaliyokuwa yakiendeshwa na Wataalam kutoka Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwa Menejimenti ya Wizara hiyo yaliyofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma.Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ununuzi na Ugavi, Bibi Cesilia Kasonga, katikati ni Mkur...
Read More