[caption id="attachment_43547" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019