Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akiwa katika picha ya pamoja na Mrembo wa Tanzania 2022, Halima Kopwe leo Mei 27, 2022 wakati Mlibwende huyo alipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dodoma kuona Shughuli za Muhimili huo.
Na Shamimu Nyaki – WUSM, Dodoma
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Pauline Gekul, ametoa wito kwa Mlibwende wa Tanzania mwaka 2022 Halima Kopwe Kuipeperusha na kuitangaza vyema Tanzania ndani na Ulimwenguni kupitia taji alilonalo.
Naibu Waziri ametoa rai hi...
Read More