Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwanahabari Nguli, Ndimara Tegambwage tuzo ya Maisha ya Mafanikio katika Uandishi wa Habari (Laja) 2022. alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (EJAT), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam, Mei 28, 2022. kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Kajubi Mkajanga (katikati).
Waziri Mkuu, Kas...
Read More