Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hassan Hamad Chande, wakati alipowasili kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha. Mei 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi, Godfrey Mbanyi, wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha. Mei 5, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Katibu Mtendaji wa PPAA, Agnes S...
Read More