Matukio katika Picha: Waziri Mkuu Audhuria Wiki ya Ununuzi kwa Umma
May 05, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi, Godfrey Mbanyi, wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha. Mei 5, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Katibu Mtendaji wa PPAA, Agnes Sayi (katikati), wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha. Mei 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Afisa Maendeleo wa Biashara Mwandamizi, Nicholaus Malakasuka (katikati) na Afisa Bima, Alfred Bwoto, wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha. Mei 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meneja Masoko wa IPP MEDIA, Ernest Dilli (katikati) na Afisa Mask Msaidizi, Esther Mbega wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha. Mei 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha. Mei 5, 2022.