[caption id="attachment_31436" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kushoto) akibadilishana mawazo na Balozi wa Japan Nchini Masaharu Yoshida (kulia) ofisini kwake mjini Dodoma mapema leo tarehe 09 Mei, 2018.[/caption]
Na. Samwel Mtuwa – Dodoma.
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki leo amekutana na balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida mjini Dodoma lengo likiwa ni kujadiliana namna ya kushirikiana kwenye uwekezaji wa madini nchini.
Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Kairuki alisema lengo la kikao hicho...
Read More